Mr Nice: Muziki? Mi nachora balaa Wegi wa kizazi cha miaka ya 2000 wameishia kusikia tu jina Mr Nice lakini hawajui maisha yake ya muziki na nje ya kazi hiyo
Kajala Masanja amtamani Serena Williams Msanii wa Bongo Movie, Kajala Masanja amesema anafanya mazoezi kila siku kwa sababu anatamani kuwa kama mcheza Tenisi maarufu duniani, Serena Williams.
Profesa Jay akanusha wanaomzushia kifo, ataka wapuuzwe Msanii maarufu wa muziki wa Hip Hop nchini na mwanasiasa, Joseph Haule maarufu Profesa Jay amekanusha taarifa za kuzushiwa kifo zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii.
Hili hapa chimbuko la jina Chaz Baba Chaz ameyasema hayo wakati akizungumza na Mwananchi kwenye tamasha la Faraja ya Tasnia baada ya kuulizwa swali kuwa ni msanii gani aliyemgusa na kuweka wazi kuwa ni marehemu Banza Stone
Mawaziri kulinogesha tamasha la Faraja ya Tasnia Mawaziri watano sambamba na Mshauri wa Rais, Angellah Kairuki na Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa wanatarajiwa kushiriki Tamasha la Faraja ya Tasnia...
Gigy Money achoshwa na wanaodukua akaunti zake Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gig Money’, ambaye hivi karibuni alikutana na majanga ya kudukulia akaunti yake ya You Tube akizungumza na Mwananchi amekiri kuchoshwa na wanaomfanyia...
Duma ataka uwekezaji zaidi Mwigizaji na muongozaji wa filamu nchini, Daud Michael 'Duma' amewataka wasanii kujiwekeza kimaisha tofauti na kazi zao walizoeleka nazo ili kujikwamua na maisha ya baadae kuepuka kuwa tegemezi...
Anna wa Jua Kali awachana watukutu MKALI wa fani ya filamu anayetamba katika tamthilia mbalimbali ikiwamo ya Jua Kali, Godliver Gordian 'Anna amewataka wasanii pamoja na watayarishaji wa kazi za sanaa kuwa na nidhamu ya kazi ili...
Mimi Mars kiroho safi kwa Marioo Staa wa filamu na muziki nchini, Mimi Mars amesema hana kinyongo na aliyewahi kuwa mchumba wake, Marioo katika uhusiano mpya alionao kwa sasa zaidi ya kumtakia kila la kheri
A to Z safari ya Uwoya kuokoka, chanzo na mikasa aliyopitia Kama yalivyo maisha mengine ya wanadamu, hayakosi misukosuko, hofu, ndoto za kutisha na hatimaye kupata maono na kuamua kuokoka, hayo pia yamemkuta mwigizaji wa bongo movie, Irene Uwoya.