Wanaokata miti ovyo wawaponza wakulima kukosa mvua Vitendo vya ukataji miti kwa ajili ya kutengeneza mkaa vinavyofanywa na baadhi ya wakazi wa Kijiji cha Mperamumbi, Kata ya Kwala Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani vimesababisha...
Walimu elimu maalumu wahitajika Pwani Serikali imeombwa kuongeza ajira za walimu wa elimu maalumu nchini hali itakayowezesha wanafunzi wenye ulemavu mbalimbali kupata fursa ya kijifunza masomo kwa ukamilifu kama ilivyo kwa watoto...
Waagizwa wasilete ubabe wakitakiwa kuvunja ukuta, vibanda vyao Wakazi wa Kata ya Sofu Halmashauri ya Mji wa Kibaha, Mkoa wa Pwani wametahadharishwa kutoweka vikwazo vitakavyosababisha kuchelewa kukamilika ujenzi wa barabara ya kiwango cha lami kwani kufanya...
67 mbaroni Pwani kwa tuhuma za wizi Jeshi la Polisi mkoa wa Pwani linawashikilia watu 67 kwa tuhuma mbalimbali, ikiwemo wizi na kujihusisha na biashara haramu.
Utata mhasibu kuunguzwa, kifo Siku chache zikiwa zimepita baada ya kutokea kifo cha aliyekuwa mhasibu wa benki ya Boa, Neema Towo anayedaiwa kutekwa na kuuawa kwa kuchomwa moto, baba mzazi wa marehemu, Ndeonasia Towo ameeleza...
Wanawake JWTZ Land Force watoa mbinu kukomesha ukatili wa familia Iwapo wanawake watajikita kwenye shughuli za ujasilimali na kujiendeleza kitaaluma kutasaidia kupunguza vitendo vya ukatili dhidi yao kutoka kwa wanaume wenye silika hiyo na hatimaye kujenga...
Watatu wafa ajalini Chalinze, wamo polisi wawili Watu watatu wamekufa wakiwemo askari polisi wawili na karani wa mahakakama, huku askari mwingine akijeruhiwa, baada ya gari ndogo waliokua wakisafiria kuacha njia na kugonga karavati kisha...
Wanawake wataja mbinu kunusuru familia, watoto vitendo vya ukatili Wanawake Kata ya Msangani Halmashauri ya Mji wa Kibaha, Mkoa wa Pwani wameiomba Serikali kukomesha vitendo vya unyanyasaji vinavyoendelea kwa baadhi ya familia jambo linaloathiri shughuli...
Walemavu wataka kushirikishwa kutoa maoni utungaji sheria za nchi Wenye Ulemavu waomba kupewa mikopo ya asilimia mbili na fursa ya kushirikishwa kwenye ngazi ya maamuzi.
Wakulima wamuomba Rais Samia shamba hekta 200 Wakulima Pwani walivyowasukuma viongozi wao kufikisha changamoto zao kwa Rais ili zifanyiwe kazi kwa wakati.