Operesheni Majimaji ya ACT- Wazalendo kuanza leo Kigoma Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu, leo Jumanne Julai 1, 2025 anaanza ziara yake ya siku 15 katika mikoa saba nchini, ikiwa ni mwanzo wa Operesheni Majimaji ya chama hicho.
ACT-Wazalendo kuja na 'Operesheni Majimaji' Chama cha ACT Wazalendo kimetangaza kuja na kampeni ya 'Operesheni Majimaji' yenye lengo la kuwaamsha Watanzania kurejesha thamani ya kura zao.
Zitto: Kura imepoteza thamani, ACT Wazalendo tunajipanga kulinda ushindi Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kura ya wananchi imepoteza thamani katika chaguzi tatu zilizopita.
PRIME Anguko la vyama vikongwe na kuibuka kwa vyama vichanga Mvutano huo hauishii kwenye majukwaa ya kampeni tu, bali umeenea kwenye fikra za wapiga kura, mitazamo ya wachambuzi wa siasa na hata ndani ya taasisi za utafiti.
PRIME Waliokuwa wabunge wapiga jaramba kurudi bungeni Kwenye kundi hilo wapo walikuwa mawaziri na naibu mawaziri wameonyesha nia ya kuingia katika uchaguzi mkuu ujao kuchuana na wenzao walioingia mwaka 2020 ambao wamebakisha siku 23 kumaliza...
Hamahama yaendelee, wengine Chadema watimkia ACT-Wazalendo Wawili hao wamekabidhiwa kadi na Katiba za chama hicho na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu.
PRIME Chadema katika kitendawili Ukiacha ajenda tatu zilizowekwa wazi na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inapokwenda kwenye kikao cha Kamati Kuu kesho Ijumaa, Mei 23, 2025, yapo mambo mengine magumu yatakayohitaji...
PRIME Yanayotokea ni kukiua, kukiimarisha Chadema? Msimamo huo unakinzana na ule wa chama kudai kwanza mabadiliko ya sheria na mfumo wa uchaguzi kupitia kampeni yenye kaulimbiu ya ‘No reforms, No election.’
Zitto ashtakiwa kwa andiko la IPTL Mfanyabiashara Harbinder Sethi amemfungulia mashtaka kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akimtuhumu kumdhalilisha kwa kuchapisha taarifa za uongo, kashfa na zenye madhara...
Zitto Kabwe: Tunahitaji dhamira safi kisiasa, uchaguzi ulio huru na haki Zitto pia amekumbusha kuhusu mapendekezo ya kuanzishwa kwa Tume ya Uangalizi wa Utendaji wa Jeshi la Polisi na Haki Jinai, akibainisha kuwa kwa sasa jeshi hilo limepoteza uaminifu kwa wananchi.