Mjane aliyekuwa akilala barabarani ajengewa nyumba Mjane Judith Wambura, aliyekuwa akilala kwa miezi miwili mfululizo katika mataa Ubungo jijini hapa, amekabidhiwa nyumba mpya iliyojengwa kwa mchango wa wasamaria wema.
Abiria wa Mtwara – Dar sasa wazunguka barabara ya Songea Baada ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra) kutoa vibali vya dharura kwa mabasi kupita njia ya Songea wakitokea Lindi na Mtwara, hali ni tete kwa Mkoa wa Lindi huku mkoa wa Mtwara...
PRIME Sababu za mastaa kutoboa soksi Kumekuwa na mabadiliko mengi ya mavazi kwa wacheza soka duniani kote, lakini hili la kutoboa soksi nyuma linaonekana kuwashangaza mashabiki wengi.
Mikakati ya Serikali kuipa nguvu ATCL Serikali imesema miongoni mwa miradi mikubwa ya maendeleo kwa mwaka wa fedha wa 2024/2025 itakayopewa kipaumbele, ni pamoja na ufufuaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL).
Jacob na Malisa wafikishwa kortini Kisutu Meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob na mwanaharakati Godlisten Malisa, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka matatu ya kuchapisha taarifa za uongo kinyume na...
PRIME Utata askari Polisi akidaiwa kumjeruhi mtuhumiwa kwa risasi Taarifa ambazo Mwananchi linazo ni kuwa tayari suala hilo limeshaanza kuchunguzwa na maofisa wa Polisi makao makuu, waliofika Mirerani wakiwa na maofisa wa Mkoa wa Manyara.
Hatua kwa hatua 'Boni yai' na Malisa kizimbani, waachiwa kwa dhamana Meya wa zamani wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob na mwenzake, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka matatu ya kuchapisha taarifa za uongo katika mtandao wa...
Wasichana wapewa mbinu kumudu masomo ya sayansi Kikubwa kinachoangaliwa ni kubuni na kutengeneza mifumo inayotatua changamoto za jamii
Miaka 20 ya Poland ndani ya Umoja wa Ulaya Leo, Mei Mosi, Poland inaadhimisha miaka 20 tangu ilipojiunga na Umoja wa Ulaya (EU) mwaka 2004. Kipindi hicho, ilipokea kundi kubwa la nchi 10 za Ulaya Mashariki na Kati, ikiwemo Poland ambazo...
Uzalishaji korosho wapaa, sababu zatajwa Louis Kolumbia, Mwananchi [email protected] Dar es Salaam. Uzalishaji wa korosho umepanda kwa tani 115,900, kutoka 189,114 zilizozalishwa msimu wa 2022/23 hadi tani 305,014 katika...
Fei Toto, Aziz KI vita ni kali Bao moja alilolifunga nyota wa Azam FC, Feisal Salum 'Fei Toto' katika mchezo wa jana dhidi ya Mtibwa Sugar limemfanya kufikisha mabao 15 ya Ligi Kuu Bara akiwa sambamba na nyota wa Yanga...
MOI yathibitisha kifo cha 'Director' Khalfani Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu Muhimbili (MOI) imethibitisha kifo cha muongozaji wa video za muziki nchini Tanzania, maarufu ‘Director Khalfani Khalmandro’.
Uhuru wa habari ni wajibu wa kila mdau Leo ni Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, ambayo huadhimishwa Mei 3, kila mwaka. Katika siku hii, wadau wanapata nafasi ya kutafakari umuhimu wa tasnia ya habari katika kuchochea uhuru...
Mpenzi wako ana hasira? Fanya haya… Katika mahusiano ya aina yoyote, hakuna anayeweza kusema hajawahi kukasirika. Mara kwa mara tunakwazana na kukasirishana, ingawa wako wale ambao hasira yao iko karibu zaidi na huja kwa ukali...