PRIME Dreamliner ATCL yafumuliwa injini Malaysia ATCL imekiri kuwa ndege hiyo yenye namba za usajili 5H-TCJ ipo kwenye matengenezo hayo tangu Novemba 2023 na inatarajiwa kukamilika Juni, 2024.
Kwa Wahehe sio mbwa tu, hata panya nao wanalika Kati ya utani unaowatambulisha zaidi wakazi wa Mkoa wa Iringa ni ulaji wa nyama ya mbwa ambao, hata hivyo hawajawahi kuukubali.
PRIME Sababu wanaume kuwa hatarini kupata kiharusi Miongoni mwa tabia hatarishi kwa wanaume ni kutokuwa na mwamko wa kusaka matibabu, ikilinganishwa na wanawake.
Mambo matatu kuwakutanisha Chadema Dar kesho Uchaguzi wa kanda hizo za awali, umekuwa na mvutano, hususan Kanda ya Nyasa na kuna wagombea wawili maarufu wanaochuana ambao ni mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu na...
Ashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumbaka mama yake hadi kumuua “Baada ya mama yake kutoka nje, mtuhumiwa na wenzake wakaanza kumbaka hadi kusababisha kifo chake,” amesema.
Mbunge ataka fao la kujitoa lirejeshwe Kuondolewa kwa fao hilo kulilalamikiwa na wafanyakazi, Serikali ilikieleza watakaoachishwa kazi watapata fao la kutokuwa na ajira ambalo ni sawa na theluthi moja (asilimia 33) ya mshahara...
Makonda: RAS iandikie halmashauri barua ya kuwalipa waliopisha ujenzi wa barabara Wananchi walishinda kesi Mahakama Kuu lakini halmashauri ikapeleka maombi Mahakama ya Rufaa kukata rufaa nje ya muda ila Mei 25, 2020 Mahakama ya Rufani ilitupilia mbali rufaa iliyokuwa imekatwa...
Petroli yapanda, dizeli ikishuka Zanzibar Bei ya petroli imepanda kutoka Sh3,133 ya Aprili hadi Sh3,182 kwa lita moja ikiwa ni tofauti ya Sh49 sawa na asilimia 1.56
Mambo matatu kuwakutanisha Chadema Dar kesho Uchaguzi wa kanda hizo za awali, umekuwa na mvutano, hususan Kanda ya Nyasa na kuna wagombea wawili maarufu wanaochuana ambao ni mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu na...
PRIME Dar inavyozizidi nchi zaidi ya 10 kwa utajiri Afrika Pengine ni vigumu kuamini, lakini ndio ukweli wenyewe. Kama Dar es Salaam ingekuwa ni nchi ingekuwa na uchumi mkubwa kuliko mataifa mengi ya Afrika, hata Ulaya pia.
Bayer Leverkusen yaweka rekodi Ulaya Awali Roma ilionekana inakwenda fainali baada ya hadi dakika ya 66 kuwa mbele kwa mabao 2-0, yote yakiwa yameweka kimiani na Leondro Paredes kwa mikwaju ya penalti.
PRIME Msiba ulivyompa ajira Dj Ally B Nimchangamfu, muongeaji si mtu wa kujigamba ila ni mfano wa kuigwa kutokana na namna alivyopambana hadi kufikia alipo sasa licha ya changamoto alizokutana nazo wakati wa kujitafuta, si mwingine...
Uhuru wa habari ni wajibu wa kila mdau Leo ni Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, ambayo huadhimishwa Mei 3, kila mwaka. Katika siku hii, wadau wanapata nafasi ya kutafakari umuhimu wa tasnia ya habari katika kuchochea uhuru...
PRIME Sababu wanaume kuwa hatarini kupata kiharusi Miongoni mwa tabia hatarishi kwa wanaume ni kutokuwa na mwamko wa kusaka matibabu, ikilinganishwa na wanawake.