Mbunge CUF atimuliwa bungeni

Thursday June 28 2018

Mbunge wa Mchinga, Hamidu Bobali akitii amri ya

Mbunge wa Mchinga, Hamidu Bobali akitii amri ya Spika wa Bunge, Job Ndugai baada ya kumtaka kutoka kwenye ukumbi wa bunge leo wakati mjadala wa kupitisha muswada wa sheria ya fedha 2018, jijini Dodoma leo. Picha na Edwin Mjwahuzi 

By Ibrahim Yamola, Mwananchi [email protected]

Advertisement