Hakimu azikataa hoja za vigogo Chadema

Wednesday July 11 2018

Viongozi wa Chadema  wakiwa wamekaa (mbele)

Viongozi wa Chadema  wakiwa wamekaa (mbele) katika chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam jana. Viongozi hao wanakabiliwa na shtaka la kufanya mkusanyiko bila kibali. Picha na Omar Fungo 

By Tausi Ally, Mwananchi [email protected]

Advertisement