JB: Tulichelewa kumtumia Mzee Majuto

Thursday August 9 2018

Waombolezaji wakiwa wamebeba mwili wa mwigizaji

Waombolezaji wakiwa wamebeba mwili wa mwigizaji nguli wa vichekesho nchini, Mzee King Majuto baada ya swala ya kumuombea iliyofanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam leo. Picha na Ericky Boniphace 

By Nasra Abdallah na Shani Awadhi [email protected]

Advertisement