Mbunge mpya Chadema azungumzia mikakati yake

Saturday May 6 2017

DK CATHERINE RUGE NI NANI?

Alizaliwa Juni 25,

DK CATHERINE RUGE NI NANI? Alizaliwa Juni 25, 1982. Alisoma Shule ya Sekondari Msalato mkoani Dodoma kuanzia mwaka 2001 hadi 2003. Baadaye alisoma Jangwani kuanzia Juni 2001 hadi Mei 2003 na kuhitimu elimu ya juu ya sekondari. Alijiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) mwaka 2004 hadi 2007 akisomea Shahada ya Biashara na Uhasibu. Mwaka 2011 – 2015 alisoma Shahada ya Uzamili katika Usimamizi wa Biashara katika chuo cha ESAMI (Eastern and Southern Africa Management Institute). Kwa sasa anachukua masomo ya udaktari (PHD) Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwenye masuala ya jinsia katika fani ya uhasibu. 

By Herieth Makwetta, Mwananchi [email protected]

Advertisement