Muswada wa umri wa kustaafu kujadiliwa kamati za Bunge
Tuesday January 16 2018

Kwa ufupi
- Marekebisho hayo yapo katika Muswada wa Marekebisho ya Sheria mbalimbali Namba Tano wa Mwaka 2017 ambao utazihusisha sheria tano ikiwamo ya Utumishi wa Umma sura namba 298 ambapo kifungu kipya cha 25A kitaongezwa.