Ndugai achaguliwa tena kuwa Spika wa Bunge

Muktasari:

Mbunge wa Kongwa (CCM), Job Ndugai amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge la 12 baada ya  kupata kura 344 kati ya kura 345 zilizopigwa sawa na asilimia 99.7. Kura moja ilimkataa. Ndugai alikuwa spika katika Bunge la 11