Mapya mazishi ya mfanyabiashara Bosco Mfanyabiashara maarufu wa Moshi, Bosco Chuwa, amezikwa huku ikibainika kuwa aliwahi kueleza kuwa hakutamani kuugua kwa muda mrefu, bali alitamani kuondoka duniani ghafla.
TCU yafungua dirisha la udahili shahada ya kwanza Dirisha hilo limefunguliwa ikiwa ni siku chache baada ya kutoka kwa matokeo ya mtihani wa kidato cha sita mwaka 2026 huku asilimia 99.92 ya waliofanya mtihani huo wamefaulu.