Mambo sita kutikisa Bunge kesho

Moshi. Mkutano wa 19 wa Bunge la Tanzania unaanza kesho huku mambo sita yakitarajiwa kutikisa mijadala ya Bunge hilo linalofanyika katikati ya mapambano dhidi ya ugonjwa wa corona.

Bunge la kumi na moja lilizinduliwa na Rais John Magufuli Novemba 20, 2015 na wabunge wanachukulia mkutano wa 19 ambao ni wa bajeti kama ni wa kufa na kupona kupigania maslahi ya wapiga kura wao.

Kuendelea kusoma habari hii  : SOMA HAPA