Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Thamani ya mavazi ya Zuchu bei ya kiwanja

New Content Item (1)
New Content Item (1)

Muktasari:

  • Katika ukurasa wake wa 'Good People Gang, Zuchu ameonyesha mchanganuo wa kila vazi lililokuwa mwilini mwake na kusema gharama yake ni Dola4.974.95, wastani wa Sh12.8 milioni.

Dar es Salaam. Staa wa Bongo Fleva, Zuchu amefunguka kuhusu gharama anazotumia kwenye suala zima la mavazi kwa siku.

New Content Item (1)
New Content Item (1)

Katika ukurasa wake wa 'Good People Gang, Zuchu ameonyesha mchanganuo wa kila vazi lililokuwa mwilini mwake na kusema gharama yake ni Dola4.974.95, wastani wa Sh12.8 milioni.

Aidha hapo nyuma Mwananchi liliwahi kumuuliza Zuchu anatumia kiasi gani cha pesa kwenye suala la mavazi na kusema;

New Content Item (1)
New Content Item (1)

"Mimi hupenda kuvaa mavazi tofauti tofauti na kuna mavazi mengine yanakuwa ya gharama sana na mavazi mengine ni ya kawaida tu. Pia napenda sana kuvaa kawaida kabisa lakini vazi nitakalovaa kwa muonekano watu hawatalielewa ila huwa na gharama kubwa sana," alisema Zuchu.

New Content Item (1)
New Content Item (1)

Alisema anawapenda wasanii wa kiume kwa sababu wana uharaka kwenye ufanyaji kazi na wanakuwa hawana usumbufu wowote, pia anakuwa vizuri zaidi akifanya kazi na wasanii wa kiume kuliko wa kike, kwa sababu wasanii wengi wa kike wana mazoea na wanakuwa hawana umakini.


New Content Item (1)
New Content Item (1)

Zuchu tayari ameshafanya kazi na wasanii wengi wa kiume kama G Nako, Diamondi, D Voice, Adekuncle Gold, Tossy na wengine wengi.