βœ•

πŸ”΄ #LIVE: MIAKA MITANO YA NYUMBA NI CHOO

What you need to know:

Leo Jumatatu Aprili 11, 2022 ni kilele cha maadhimisho ya miaka mitano ya kampeni ya Nyumba ni Choo ambayo inafanyika jijini Dar es salaam katika ukumbi wa Kivukoni Serena Hotel. Wadau mbalimbali wa usafi wa mazingira wamekutana kujadili utekelezaji wa kampeni hiyo na kuweka mipango mipya.

This page might use cookies if your analytics vendor requires them.