Avuliwa uchungaji akidaiwa kumpa mimba muumini

Avuliwa uchungaji akidaiwa kumpa mimba muumini

Muktasari:

  • Mchungaji msaidizi wa Kanisa la Ufunuo Ushirombo lililopo wilayani Bukombe mkoani Geita, Maliko Elikana amevuliwa wadhifa wa uchungaji na kuwa mumini wa kawaida kwa tuhuma za kumpa mimba mimba muumini wa kanisa hilo.

Bukombe. Mchungaji msaidizi wa Kanisa la Ufunuo Ushirombo lililopo wilayani Bukombe mkoani Geita, Maliko Elikana amevuliwa wadhifa wa uchungaji na kuwa mumini wa kawaida kwa tuhuma za kumpa mimba mimba muumini wa kanisa hilo.

Akitangaza kumvua uchungaji huo kanisani, Askofu wa Jimbo la Geita la kanisa hilo, Heryyabwana Majebele alisema ana ushahidi wa kutosha na amefuatilia mienendo ya mchungaji huyo na kubaini walikuwa wanakwenda katika nyumba ya kulala wangeni na muumini huyo.

Hata hivyo, Mchungaji Elikana alipoulizwa na gazeti hili alikana tuhuma za kulala nyumba ya wageni na kufanya tendo la ndoa na muumini huyo.

Habari kamili jipatie nakala yako ya Mwananchi leo.