Diwani, wananchi 12 wanusurika kuuawa Moshi

New Content Item (1)
New Content Item (1)

Muktasari:

Diwani wa Kata ya Miembeni Manispaa ya Moshi (CCM), Mohamed Mushi na wananchi wake 12, wamenusurika kifo baada ya mfanyabiashara maarufu wa Moshi, Ibrahim Nyambacha kudaiwa kuwafyatulia risasi.

Moshi. Diwani wa Kata ya Miembeni Manispaa ya Moshi (CCM), Mohamed Mushi na wananchi wake 12, wamenusurika kifo baada ya mfanyabiashara maarufu wa Moshi, Ibrahim Nyambacha kudaiwa kuwafyatulia risasi.

Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Kilimanjaro, Ronald Makona amethibitisha kuwapo kwa tukio hilo, hata hivyo hakulizungumzia zaidi kwa madai ya kuwa nje ya ofisi.  

Kwa undani wa habari hii, jipatie nakala yako ya gazeti la Mwananchi Leo Machi 09, 2021