Habari ya ‘Mnyongaji’ ilivyompa ushindi Mwandishi wa Mwananchi

Muktasari:
Habari hiyo ilikuwa ni ya mahojiano na aliyekuwa mnyongaji Mkuu wa gereza la Isanga na ilipewa kichwa cha habari cha ‘Mtu anayefanya kazi ngumu kuliko zote’.
Moja ya habari zilizompa ushindi wa tuzo za umahiri Mwandishi wa Habari wa gazeti la Mwananchi, Florence Majani, ni ile ya mnyongaji Mkuu wa Gereza la Isanga.
Habari hiyo ilikuwa ni ya mahojiano na aliyekuwa mnyongaji Mkuu wa gereza la Isanga na ilipewa kichwa cha habari cha ‘Mtu anayefanya kazi ngumu kuliko zote’.
Ilieleza jinsi waliohukumiwa kunyongwa wanavyoandaliwa, wanavyonyongwa na maisha ya kila siku ya mnyongaji huyo.
Habari ya ‘Mnyongaji’ ilivyompa ushindi Mwandishi wa Mwananchi
Kwa habari zaidi kuhusu habari hiyo ya Mnyongaji wa gereza la Isanga,usikose gazeti lako la Mwananchi kesho.