Haya hapa matokeo ya darasa la nne 2025
Dar es Salaam. Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa darasa la nne na kidato cha pili.
Matokeo yametangazwa leo Januari 10, 2026 na Katibu Mtendaji wa baraza hilo, Dk Said Mohamed, mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.
Endelea kufuatilia Mwananchi.