Kesi ya uhaini 1985: Luteni Ndejembi abanwa kortini-8

Kesi ya uhaini 1985: Luteni Ndejembi abanwa kortini-8

Muktasari:

  • Katika toleo la jana tuliona jinsi Luteni Augustine Pancras Ndejembi akitoa ushahidi wake katika kesi ya uhaini iliyowakabili Watanzania 19 wakiwamo wanajeshi 14 wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakikabiliwa na mashtaka manne ya kutaka kumuua Rais wa Tanzania, Mwalimu Julius Nyerere, na kumwondoa katika wadhifa wake kwa njia zisizo halali, kutaka kuiangusha Serikali ya Jamhuri ya Muungano na kutotoa taarifa wakati wakifahamu kuwa njama hizo zipo.

Katika toleo la jana tuliona jinsi Luteni Augustine Pancras Ndejembi akitoa ushahidi wake katika kesi ya uhaini iliyowakabili Watanzania 19 wakiwamo wanajeshi 14 wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakikabiliwa na mashtaka manne ya kutaka kumuua Rais wa Tanzania, Mwalimu Julius Nyerere, na kumwondoa katika wadhifa wake kwa njia zisizo halali, kutaka kuiangusha Serikali ya Jamhuri ya Muungano na kutotoa taarifa wakati wakifahamu kuwa njama hizo zipo.

Katika ushahidi wake, Luteni Ndejembi alipotakiwa kueleza ni jambo gani lingetokea kwa yule Meja Jenerali aliyekuwa ashiriki katika mpango huo kama alivyoambiwa na Luteni Kajaja, alisema “huyo alikuwa auawe mara moja kwa sababu Serikali mpya ilikuwa iwe ni ya kuongozwa na vijana kutoka cheo cha Kapteni kuteremka chini.”

Habari kamili soma hapa: https://egazeti.co.tz/show_related/8524