Kesi ya uhaini 1985: Shahidi adai kortini alilazimika kumtafuta Sokoine, Barongo

Kesi ya uhaini 1985: Shahidi adai kortini alilazimika kumtafuta Sokoine, Barongo

Muktasari:

  • Jana tulisoma namna ushahidi wa Luteni Augustine Ndejembi ulivyomtoa jasho Wakili Murtaz Lakha, aliyekuwa akiwatetea Hatty MacGhee, Kapteni Christopher Kadego na Luteni Eugene Maganga.

Jana tulisoma namna ushahidi wa Luteni Augustine Ndejembi ulivyomtoa jasho Wakili Murtaz Lakha, aliyekuwa akiwatetea Hatty MacGhee, Kapteni Christopher Kadego na Luteni Eugene Maganga.

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma, Pancras Mtemi Ndejembi, ambaye ni baba wa shahidi wa tatu, Luteni Augustine Ndejembi, Jumatano Januari 23, 1985, alipanda kizimbani kutoa ushahidi akiwa shahidi wa nne upande wa mashtaka baada ya mtoto wake kumaliza kutoa ushahidi wake.

Pancras Ndejembi aliieleza mahakama hiyo kwamba mtoto wake, Luteni Augustine Ndejembi, alimfuata nyumbani kwake Moshi Ijumaa Januari 7, 1983 na kumwambia, “Baba, nina habari muhimu za kukueleza.”

Habari kamili soma hapa: https://egazeti.co.tz/show_related/8575