Kesi ya uhaini 1985: Ushahidi wa Ndejembi wamtoa jasho Wakili Lakha -9

Kesi ya uhaini 1985: Ushahidi wa Ndejembi wamtoa jasho Wakili Lakha -9

Muktasari:

  • Jana tulimsoma Luteni Augustine Ndejembi aliyedai kuelezwa na Luteni Badru Kajaja mipango ya kuipindua Serikali ya Tanzania na kumuua Rais Julius Nyerere na jinsi alivyoamua kwenda kumweleza baba yake mzazi, Pancras Ndejembi aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Moshi.

Jana tulimsoma Luteni Augustine Ndejembi aliyedai kuelezwa na Luteni Badru Kajaja mipango ya kuipindua Serikali ya Tanzania na kumuua Rais Julius Nyerere na jinsi alivyoamua kwenda kumweleza baba yake mzazi, Pancras Ndejembi aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Moshi.

Kesi hiyo iliwakabili Watanzania 19 wakiwamo askari 14 wa JWTZ. Baada ya kuusikiliza ushahidi huo, Wakili Murtaz Lakha ambaye aliwatetea Hatty MacGhee, Kapteni Christopher Kadego na Luteni Eugene Maganga alianza kumhoji shahidi.

Lakha: Umesema kuwa baada ya kusikia mpango huo ulistuka sana kwa vile ulikuwa bado hujausikia katika maisha yako. Lakini bado ulikwenda Moshi. Ni kwa misingi gani hasa hukutoa taarifa juu ya mpango huo kwa wakuu wako jeshini au hata kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi ukiwa bado Dar es Salaam?

Habari kamili soma hapa: https://egazeti.co.tz/show_related/8535