Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Mahakama yataka upelelezi kesi ya Mwakabibi na mwenzake uharakishwe

Kesi ya Mwakibibi na mwenzake yapigwa kalenda

Muktasari:

  • Kwa mara ya kwanza, Mwakabibi na Haule walifikishwa mahakamani hapo Agosti 20, 2021 wakikabiliwa na mashtaka mawili ya matumizi mabaya ya madaraka wakiwa watumishi wa Serikali.



Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeutaka upande wa mashtaka kuharakisha upelelezi katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Lusubilo Mwakabibi na Mratibu wa Mradi wa Uendelezaji Jiji la Dar es Salaam (DMDP), Edward Haule.

Mwakabibi na Haule, wanakabiliwa na mashtaka mawili ya matumizi mabaya ya madaraka wakiwa watumishi wa Serikali, katika kesi ya Uhujumu Uchumi namba 73/2021.

Amri hiyo imetolewa leo, Oktoba 19, 2023 na Hakimu Mkazi Mkuu, Evodia Kyaruzi, baada ya Serikali kudai kuwa upelelezi wa shauri hilo, upo katika hatua za mwisho kukamilika.

“Upande wa mashtaka mjitahidi kukamilisha kwa wakati kesi hii, maana maahirisho yamekuwa too much (yamezidi),” amesema Hakimu Kyaruzi.

Awali, wakili wa Serikali, Winiwa Samsoni akishirikiana na Monica Ndekidemi alidai kuwa shauri hilo limeitwa kwa ajili ya kutajwa na upelelezi wake upo katika hatua za mwisho.

“Kesi hii imekuja kwa ajili ya kutajwa, upelelezi wake bado haujakamilika, lakini tumeambia upelelezi upo katika hatua za mwisho kukamilika na mara ya mwisho, jalada hii lilikuwa ofisi ya DPP kwa ajili ya kufanyiwa kazi,  hiyo tunaomba tarehe nyingine kwa ajili ya kutajwa” amedai Samson.

Hakimu Kyaruzi baada ya kusikiliza maelezo hayo, ameahirisha kesi hadi Novemba 21, 2023 itakapotajwa na washtakiwa wote wapo nje kwa dhamana.

Katika kesi ya msingi, shtaka la kwanza ambalo ni matumizi mabaya ya ofisi, washtakiwa wanaodaiwa kutenda kosa hilo, kati ya Machi 2020 na Machi 2021 katika Manispaa ya Temeke.

Siku hiyo, Mwakabibi akiwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke na Haule akiwa Mratibu wa Mradi wa DMDP na wakiwa waajiriwa wa manispaa hiyo katika utekelezaji wa ardhi walielekeza  ujenzi wa stendi ya mabasi eneo la  Buza, kiwanja  ambacho kinamilikiwa na Dayosisi ya Kanisa la Anglikana bila kuwa na ruhusa.

Shtaka la pili ni matumizi mabaya ya madaraka, tukio wanaodaiwa kulitenda Machi 2020 na Machi 2021 katika eneo hilo, ambapo washtakiwa kwa makusudi walitumia madaraka yao vibaya kinyume na kifungu cha 3(1) cha Sheria ya Ardhi na kifungu cha 3,4,5,7 na 11 cha Sheria ya Ardhi ya mwaka 2019, ambapo waliruhusu ujenzi wa kituo kufanyika katika eneo linalomilikiwa na kanisa.

Kwa mara ya kwanza, washtakiwa hao walifikishwa mahakamani hapo Agosti 20, 2021 na kusomewa mashtaka yanayowakabili.

// Block all Eskimi ads (function () { const keyword = 'eskimi'; // 1. Intercept JSON/String payloads globally (Crucial for SafeFrame data) // Google passes ad payloads as serialized strings. We intercept JSON parsing. const originalParse = JSON.parse; console.error(originalParse); JSON.parse = function (text) { if (typeof text === 'string' && text.toLowerCase().includes(keyword)) { console.warn(`[Aggressive Block] Corrupted an Eskimi JSON payload.`); // Return empty or modified data to force the ad creative to crash safely return {}; } return originalParse.apply(this, arguments); }; // 2. Intercept PostMessage (How SafeFrames communicate with your page) // SafeFrames constantly talk to the host page via postMessage. We block Eskimi messages. const originalPostMessage = window.postMessage; window.postMessage = function (message, targetOrigin, transfer) { try { const serialized = typeof message === 'string' ? message : JSON.stringify(message); if (serialized.toLowerCase().includes(keyword)) { console.warn(`[Aggressive Block] Dropped Eskimi postMessage.`); return; // Kill the communication line } } catch (e) {} return originalPostMessage.apply(this, arguments); }; // 3. Google Publisher Tag (GPT) Inception window.googletag = window.googletag || { cmd: [] }; window.googletag.cmd.push(function() { // Intercept slot rendering before it hits the DOM window.googletag.pubads().addEventListener('slotRenderEnded', function(event) { const elementId = event.slot.getSlotElementId(); const container = document.getElementById(elementId); if (!container) return; // Attack 1: Scan attributes & hidden configuration scripts inside the container const innerHTML = container.innerHTML.toLowerCase(); if (innerHTML.includes(keyword)) { nukeContainer(container, elementId, 'Found in HTML/Scripts'); return; } // Attack 2: Force-inspect the Iframe's name/title configurations const iframes = container.querySelectorAll('iframe'); iframes.forEach(iframe => { const identifier = [ iframe.id, iframe.name, iframe.getAttribute('title'), iframe.getAttribute('data-google-container-id') ].join(' ').toLowerCase(); if (identifier.includes(keyword)) { nukeContainer(container, elementId, 'Found in Iframe attributes'); } }); }); }); function nukeContainer(container, id, reason) { console.warn(`[Aggressive Block] Nuking slot ${id}. Reason: ${reason}`); container.innerHTML = ''; // Wipe out the iframe completely container.style.setProperty('display', 'none', 'important'); // Collapse the layout container.style.setProperty('visibility', 'hidden', 'important'); container.style.setProperty('height', '0px', 'important'); } // 4. Extreme DOM Reaper (Runs every 400ms to catch lazy loads) setInterval(() => { // Target all standard Google ad wrappers and SafeFrame wrappers const targets = document.querySelectorAll('.ad-medium-rectangle, [id^="google_ads_iframe"], [id^="gpt_ad"], iframe[src*="safeframe"]'); targets.forEach(el => { // Check outer HTML for serialized config strings (Google leaves queries in data attributes) const outer = el.outerHTML.toLowerCase(); if (outer.includes(keyword)) { const parentSlot = el.closest('.ad-medium-rectangle') || el; nukeContainer(parentSlot, parentSlot.id || 'Unknown Slot', 'Reaper detected keyword'); } }); }, 400); })();