Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Rais Samia apangua baraza la mawaziri

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan

Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewahamisha wizara mawaziri mbalimbali, manaibu katibu mkuu na kuteua mabalozi wapya watano.

Pia amemteua Profesa Mohamed Janabi kuwa Mshauri wa Rais Masuala ya Afya na Tiba. Pamoja na nafasi hiyo, Profesa Janabi ataendelea kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Uteuzi huo umetangazwa leo Jumapili, Desemba 8, 2024 na wanatarajiwa kuapishwa Jumanne, Desemba 10, 2024  kuanzia saa 5: asubuhi katika Ikulu Ndogo, Tunguu Zanzibar.

Soma majina ya walioteuliwa hapa…