Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

VIDEO- Ndugu wa Akwilina wachangisha fedha za usafiri

Muktasari:

Familia ya mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwiline wamelazimika kuchangisha fedha 

Dar es Salaam. Familia ya mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwiline wamelazimika kuchangisha fedha ili kukodi magari zaidi baada ya idadi ya watu wanaotaka kusafiri kwenda Moshi mkoani Kilimanjaro kwa mazishi kuongezeka.

Akizungumza na MCL Digital leo Februari 22, 2018, msemaji wa familia, Festo Kavishe amesema hali hiyo inatokana na magari mawili yalitotolewa na Serikali kujaa.