Vita ya kibiashara

Sunday March 07 2021
baashe malory
By Elias Msuya
By Filbert Rweyemamu

Dar/Arusha. Sakata la katazo la Kenya kuchukua mahindi kutoka Tanzania na nchi ya Uganda, limewaibua wadau wa kilimo na biashara na kuitaka Serikali kutafuta njia mbadala ya masoko ya mazao ya kilimo.

Taarifa iliyotolewa juzi na wakala wa kilimo na chakula Kenya, ilieleza kuwa zuio hilo limezingatia usalama wa chakula, kutokana na kuwapo kwa kiwango kikubwa cha sumu kuvu ambayo ni hatari kwa usalama wa walaji.

Kusoma habari hii kwa undani, pata nakala yako ya Mwananchi leo Jumapili Machi 07, 2021

Advertisement