Wafanyakazi watano wa TRA wafariki ajalini

Muktasari:
- Wafanyakazi watano wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) wamefariki dunia kwa ajali ya gari aina ya Landcluser lililogonga kwa nyuma Lori aina Fuso.
Songwe. Wafanyakazi watano wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) wamefariki dunia kwa ajali ya gari aina ya land cruiser lililogonga kwa nyuma Lori aina Fuso.
Ajali hiyo imetokea leo Agosti 23, 2021 saa 11 alfajiri katika eneo la Hanseketwa wilayani Mbozi, Songwe.
Polisi imethibitisha
