Wakuu wa Wilaya wapya 2021
Muktasari:
- Ahadi imetimia. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Rais Samia Suluhu Hassan jana kutekeleza ahadi yake ya kupangua wakuu wa wilaya aliyoitoa wiki iliyopita na katika uteuzi alioufanya usiku, zipo sura mpya kadhaa, baadhi wakihamishwa na wengine kutemwa.
Dar es Salaam. Ahadi imetimia. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Rais Samia Suluhu Hassan jana kutekeleza ahadi yake ya kupangua wakuu wa wilaya aliyoitoa wiki iliyopita na katika uteuzi alioufanya usiku, zipo sura mpya kadhaa, baadhi wakihamishwa na wengine kutemwa.
Uteuzi huo ulitangazwa jana na mkurugenzi wa mawasiliano ya rais Ikulu, Jaffar Haniu na kubainiaha kuwa wateule hao wataapishwa Juni 21 na wakuu wa mikoa.
Arusha
Arusha, Sophia Mjema (Arusha), Richard Ruyango (Arumeru), Raymond Mangwala (Ngorongoro), Nurdin Babu (Longido), Frank Mwaisumbe (Monduli), Abbas Kayanda (Karatu)
Dar es Salaam
Godwin Gondwe (Kinondoni), Ng'wilabuza Ludigija (Ilala), Jokate Mwegelo (Temeke), Fatma Nyangasa (Kigamboni), Khery James (Ubungo).
Dodoma
Gift Msuya (Chamwino), Jabil Shwkimweli (Dodoma), Simon Chacha (Chemba), Khamis Mkanachi (Kondoa), Mwanahamisi Munkunda (Bahi), Josephat Maganga (Mpwapwa), Remedius Emmanuel (Kongwa).
Geita
Said Nkumba (Bukombe), Charles Kabeho (Mbogwe), Jamhuri William (Nyang'hwale), Wilson Shimi (Geita), Martha Mkupasi (Chato).
Iringa
Saada Mtambule (Mufindi), Peres Magiri (Kilolo) na Mohamed Moyo (Iringa),
Kagera
Kemilembe Lwota (Biharamulo), Julieth Nkebanyi (Karagwe), Toba Nguvila (Muleba), Rashid Mohamed (Kyerwa), Moses Machali (Bukoba), Mathias Kahabi (Ngara), Kanali W.C Sakullo (Misenyi).
Katavi
Filberto Sanga (Mlele), Jamila Kimaro (Mpanda), Onesmo Buswelu (Tanganyika).
Kigoma
Ester Mahawe (Kigoma), Kanali A J Mwakisu (Kasulu), Kanali Michael Masala (Kakonko), Hanafi Msabaha (Uvinza), Kanali Michael Nyayalina (Buhigwe), Kanali A J Magwaza (Kibondo).
Kilimanjaro
Thomas Upson(Siha), Said Mtanda (Moahi), Abdallah Mwaipaya (Mwanga), Kanali Maiga (Rombo), Juma Irando (Hai), Edward Mpogolo (Same).
Lindi
Hashim Komba (Nachingwea), Hassan Ngoma (Ruangwa), Judith Nguli (Liwale), Shaibu Ndemanga (Lindi), Zainabu Mfaume (Kilwa).
Manyara
Lazaro Twangwe (Babati), Sezalia Makota(Mbulu), Janeth Mayanja (Hanang), Mbaraka Batenga (Kiteto), Dk Suleiman Selela (Simanjiro).
Mara
Juma Chikoka (Rorya), Dk Vicent Mashinji (Serengeti), Joshua Nassari (Bunda), Mosses Kaigere (Butiama), Kanali Michael Mtenjele (Tarime), Dk Halfan Haule (Musoma)
Mbeya
Mayeka Mayeka (Chunya), Ismail Mlawa (Kyela), Dk Rashid Chuachua (Mbeya), Dk Vicent Anney (Rungwe), Ruben Mfune (Mbarali).
Morogoro
Jabil Makame (Gairo), Hanji Godigodi (Kilombero), Halima Okashi (Mvomero), Albert Msando (Morogoro), Ngollo Malenya (Ulanga), Majid Mwanga (Kilosa).
Mtwara
Mwangi Kundya (Newala), Mariam Chaurembo ( Nanyumbu), Dunstan Kyobya (Mtwara), Claudia Kita (Masasi), Kanali Patrick Sawala (Tandahimba).
Mwanza
Hassan Masala (Ilemela), Johari Samizi (Kwimba), Senyi Ngaga (Sengerema), Amina Makilagi (Nyamagana), Salum Kalli (Magu), Kanali Dennis Mwila (Ukerewe), /Veronika Kessy (Misungwi).
Njombe
Kisa Kasongwa (Njombe), Andrea Tisere (Ludewa), Lautel Kanoni (Wanging'ombe), Juma Sweda (Makete)
Pwani
Zainab Issa (Bagamoyo), Hadija Ali (Mkuranga), Kapteni Gowelle (Rufiji), Martin Ntemo (Mafia), Sara Msafiri (Kibaha), Nickson John (Kisarawe), Kanali Ahmed A (Kibiti).
Rukwa
Sebastian Waryuba (Sumbawanga), Peter Lijualikali (Nkasi), Tano Mwela (Kalambo),.
Ruvuma
Julius Ningu (Namtumbo), Aziza Mangosango (Mbinga), Kanali Thomas (Nyasa), Julius Mtatiro (Tunduru), Polotet Mgema (Songea).
Shinyanga
Joseph Mkude (Kishapu), Jasinta Mboneko (Shinyanga), Festo Kiswaga (Kahama).
Simiyu
Gabriel Olemigili (Busega), Aswege Kaminyonge (Maswa), Charles Mhina (Bariadi), Fauzia Ndatumbula (Meatu), Faiza Salim (Itilima).
Singida
Sofia Kizigo (Mkalama), Rahabu Mwagisa (Manyoni), Paskasi Murangili (Singida), Jerry Muro (Ikungi), Kenani Kihongozi (Iramba).
Songwe
Simon Simalenga (Songwe), Anna Gidarya (Ileje), Cosmas Nshenye (Mbozi), Fack Lulandala (Momba).
Tabora
Advera Bulimba (Nzega), Matiko Chacha (Kaliua), Sauda Mtondoo (Igunga), John Palingo (Sikonge), Dk Yahya Nawanda (Tabora), Luis Bura (Urambo), Kisare Makoli (Uyuni).
Tanga
Hashim Mgandilwa (Tanga), Halima Bulembo (Muheza), Kanali Sulumbu (Mkinga), Ghaibu Ringo (Pangani), Siriel Nchembe (Handeni), Basila Mwanukuzi (Korogwe), Abel Busalama (Kilindi), Kalist Bukhay (Lushoto).