Picha Akutwa amefariki barabarani Ubungo External Jumanne, Septemba 24, 2024 Polisi wakishirikiana na wananchi kupakia kwenye gari mwili wa mtu asiyejulikana aliyekutwa amefariki eneo la Ubungo External jijini Dar es Salaam jana Septemba 23, 2024. Picha na Devotha Kihwelo Photo: 1/2 View caption Photo: 2/2 View caption Login to join the discussion Please enable JavaScript to view the comments powered by Disqus.
Sababu Wakatoliki hawali nyama Ijumaa Kuu Wakati Wakristo leo wakiadhimisha mateso na kifo cha Bwana Yesu Kristo, wamekumbushwa kuwa na tumaini, upendo, umoja pamoja na mshikamano.
Tanzania kuzuia uingizwaji wa mazao kutoka Malawi, Afrika Kusini Serikali ya Tanzania imesema itazuia uingizaji wa mazao na bidhaa za kilimo kutoka nchi za Malawi na Afrika Kusini kuanzia Jumatano Aprili 23, 2025 endapo vikwazo kwa Tanzania miongoni mwa nchi...
Chadema waburuzana mahakamani, kesi kuanza leo Wamefungua kesi hiyo Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa Chadema, ikiwa mdaiwa wa kwanza na Katibu Mkuu wa Chadema ni mdaiwa wa pili.