Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Said Mtanda, akichanjwa kinga ya virusi vya corona.
Photo: 1/5
Wananchi wa Wilaya ya Same wakiwa katika uzinduzi wa Chanjo ya corona eneo la halmashauri hiyo.
Photo: 2/5
Mkuu wa mkoa wa Arusha John Mongela akichomwa chanjo ya Corona Leo. picha Mussa Juma
Photo: 3/5
Mkurugenzi wa kampuni ya Utalii ya Sunny Safari's Firoz Suleman apata chanjo ya Corona Leo. Picha Mussa Juma
Photo: 4/5
Naibu Waziri wa Afya Dk Godwin Mollel mapema leo akiwa Jijini Mbeya amepata Chanjo ya corona katika kituo cha kutolea chanjo ya ugonjwa huo katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya.