Viongozi na wananchi mbalimbali waliojitokeza katika makaburi ya Mwongozo Kigamboni jijini Dar es Salaam kumzika aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na mkurugenzi mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Kanda ya Afrika, Dk Faustine Ndugulile. Picha na Said Khamis