Picha za matukuo mbalimbali katika hafla ya maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania iliyofanyika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salam leo Septemba 1, 2024 ambapo mgeni rasmi alikuwa Amiri Jeshi Mkuu, Rais Samia Suluhu Hassan. Picha na Sunday George, Ikulu