Picha Madiwani wa upinzani wasusia kikao Mtwara Jumapili, Novemba 10, 2024 Baadhi ya madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara wakiondoka katika ukumbi wa mikutano baada ya kususia kikao kwa madai ya kutoridhishwa na mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa. Photo: 1/2 View caption Photo: 2/2 View caption Login to join the discussion Please enable JavaScript to view the comments powered by Disqus.
Hivi ndivyo Nondo wa ACT Wazalendo alivyotekwa Dar Wakati tukio la Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT-Wazalendo, Abdul Nondo kudaiwa kutekwa na watu wasiojulikana likiibua mjadala, Jeshi la Polisi limeelezea jinsi tukio hilo lilivyotokea.
Polisi: Nondo amechukuliwa na Land Cruiser nyeupe, tunafuatilia Wakati ACT-Wazalendo ikisema mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa chama hicho, Abdul Nondo ametekwa leo asubuhi, Jeshi la Polisi limesema amechukuliwa na Land Crusier nyeupe na wanafuatilia.
Nondo wa ACT-Wazalendo adaiwa kutekwa, Polisi yasema… Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT-Wazalendo, Abdul Nondo anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli kilichopo Mbezi Luis wilayani Ubungo jijini Dar es Salaam.