Picha Majaliwa awatembelea wahanga wa mafuriko Hanang Jumanne, Desemba 05, 2023 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Disemba 05, 2023 ametembelea kambi ya muda walipo waathirika wa mafuriko yaliyoharibu nyumba na miundombinu mingine kutokana kuporomoka kwa tope na mawe kutoka mlima Hanang, Katesh Mkoani Manyara. Photo: 1/3 View caption Photo: 2/3 View caption Photo: 3/3 View caption Login to join the discussion Please enable JavaScript to view the comments powered by Disqus.
PRIME Samia: Tunataka amani na utulivu Rais Samia Suluhu Hassan amesema sifa njema kuhusu utulivu na amani iliyopo Tanzania iendelezwe katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.
PRIME Mama asimulia mwanaye aliyeuawa kwa kipigo… “Mama nimepigwa sana… mama nisaidie, sijaleta vitu, nimekuja mama yangu unisaidie, nakufa nisaidie.”
Malima azionya asasi, mashirika ya kiraia kuelekea uchaguzi mkuu Katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima amezitaka taasisi zisizo za kiserikali (NGO) kutoshirikiana na wanaharakati wa kisiasa wenye nia ya kuvuruga...