Makamu wa Rais alivyoshiriki mazishi ya kaka wa Askofu Paul Ruzoka
Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango akiweka udongo kwenye kaburi la Phillip Bhalalusesa ambaye ni kaka wa Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Katoliki Tabora, Paul Ruzoka wakati wa mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Kinondoni, Dar es Salaam jana. Picha na OMR
Photo: 1/2
Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango akimpa pole Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Katoliki Tabora, Paul Ruzoka kwa kufiwa na kaka yale, Phillip Bhalalusesa aliposhiriki mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Kinondoni, Dar es Salaam jana. Picha na OMR