Rais na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania, Jenerali Jacob Mkunda wakati wa mkutano wa CDF na Makamanda kwa mwaka 2023, ulifanyika Lugalo Jijini Dar es Salaam, leo Januari 22, 2024. Picha na Ikulu