Picha Moto wazuka Buguruni, chanzo bado hakijajulikana Jumatano, Agosti 21, 2024 Zimamoto na raia wakishirikiana kuzima moto mkubwa uliozuka eneo la kituo kipya cha Buguruni Ghana jijini Dar es Salaam Agosti 20, 2024. Picha na Devotha Kihwelo Photo: 1/3 View caption Photo: 2/3 View caption Photo: 3/3 View caption Login to join the discussion Please enable JavaScript to view the comments powered by Disqus.
PRIME Ghorofa mbili stendi ya Magufuli ziko tupu kwa miaka minne Ikiwa imetimiza siku 1,087 tangu Stendi ya Magufuli kuanza kutumika, eneo la chini stendi hiyo lenye ghorofa mbili halijawahi kutumika, uchunguzi wa Mwananchi umebaini.
PRIME Bodi ya Ligi: Yanga kwenda Cas ni kichekesho Bodi ya Ligi Kuu Bara imesema kama Yanga kweli imeenda Cas kudai pointi tatu za mezani, ni jambo la kuchekesha
Russia, Ukraine zabadilishana wafungwa 372 wa kivita Mabadilishano hayo yamefanyika baada ya Jeshi la Ukraine kudai kuwa Russia ilirusha ndege zisizo na rubani (droni) 145, ambapo mifumo ya ulinzi wa anga ya Ukraine ilidungua 72 kati ya hizo.