Msiba wa Lowassa vigogo wamiminika nyumbani kufariji wafiwa
Rais mstaafu, Jakaya Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo ya msiba wa Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa baada ya kuwasili nyumbani kwa Lowassa, Masaki jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni mke wa Kikwete, Mama Salma. Picha na Sunday George
Photo: 1/8
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla kisaini kitabu cha maombolezo ya msiba wa Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa baada ya kuwasili nyumbani kwa marehemu, Masaki jijini Dar es Salaam leo. Picha na Sunday George
Photo: 2/8
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi akiwasili nyumbani kwa marehemu Edward Lowassa kwa ajili kutoa pole na kufariji wafiwa, jijini Dar es Salaam leo. Picha na Sunday George
Photo: 3/8
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Paul Makonda kisaini kitabu cha maombolezo ya msiba wa Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa baada ya kuwasili nyumbani kwa marehemu, Masaki jijini Dar es Salaam leo. Picha na Sunday George
Photo: 4/8
Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu (kushoto) akisalimiana na viongozi na waombolezaji katika msiba wa Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa baada ya kuwasili nyumbani kwa marehemu, Masaki jijini Dar es Salaam leo. Picha na Sunday George
Photo: 5/8
Sheikh Alhad Mussa Salum akisaini kitabu cha maombolezo ya msiba wa Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa baada ya kuwasili nyumbani kwa marehemu, Masaki jijini Dar es Salaam leo. Picha na Sunday George
Photo: 6/8
Viongozi na waombolezaji mbalimbali wakiwa katika msiba wa Edward Lowassa uliopo nyumbani kwa marehemu, Masaki jijini Dar es Salaam leo. Picha na Sunday George