Mwili wa aliyekuwa kada wa Chadema, Ali Kibao ukitolewa katika Hospitali ya Mwananyamala kuelekea kwenye nyumba ya familia Morocco jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya taratibu zingine ikiwamo kesho Septemba 9, 2024 kusafirishwa kuelekea Tanga kwa ajili ya maziko.