Mama Salma Kikwete upo juu, na wewe Pierre upo juu, hayo ndio maneno waliyokuwa wakiambiana Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Salma Kikwete na Peter Moller maarufu Pierre Konki Liquid walipokuwana katika viwanja vya Bunge, jijini Dodoma leo. Picha na Edwin Mjwahuzi