Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Abdulrahman Kinana (kushoto) akizungumza na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Moses Kusiluka (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila wakati wa Futari iliyoandaliwa na Rais Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es jana.