Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na bilionea wa Nigeria, Alhaji Aliko Dangote pamoja na ujumbe wake, Ikulu jijini Dar es Salaam, Jumapili Juni 28, 2026.
Rais Samia amekutana na Dangonte ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group trakribani mwezi mmoja kupita tangu walipokutana tena Ikulu ya Dar es Salaam, Mei 16, 2026.