Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani na Mahakama Kuu, pamoja na viongozi wengine aliowateua kushika nyadhifa mbalimbali serikalini kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Alhamisi 14 Septemba, 2023.