Video BAJETI YA SERIKALI 2022/23 Jumanne, Juni 14, 2022 Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba anasoma Bajeti ya Serikali ya Mwaka wa Fedha 2022/23
PRIME Mama asimulia mwanaye aliyeuawa kwa kipigo… “Mama nimepigwa sana… mama nisaidie, sijaleta vitu, nimekuja mama yangu unisaidie, nakufa nisaidie.”
Malima azionya asasi, mashirika ya kiraia kuelekea uchaguzi mkuu Katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima amezitaka taasisi zisizo za kiserikali (NGO) kutoshirikiana na wanaharakati wa kisiasa wenye nia ya kuvuruga...
Polisi yawanasa watuhumiwa madai mauaji ya kijana kwa kipigo Geita Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita limewakamata watu wawili akiwemo Ofisa Mtendaji wa Kijiji cha Liyobahika, Ferdinand Antony kwa tuhuma za mauaji ya kijana Enock Mhangwa, huku watuhumiwa wengine...