Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Siku kadhaa baada ya kutokea kifo cha pacha Alif Athuman Ally na Khalifa Athuman Ally ambao walidaiwa kunyweshwa sumu maeneo ya Yombo Vituka jijini Dar es salaam, kaka wa marehemu hao Alli Athuman Dilunga amesema familia imesikitishwa na kitendo hicho huku wakivitaka vyombo vya haki kutoa adhabu aliyehusika na tukio hilo.