PRIME Sasa 72 ‘moshi mweupe’ CCM Hatima ya kujulikana majina ya kina nani yaliyopenya katika mchujo wa vikao vya kitaifa vya Chama cha Mapinduzi (CCM) ili kupatikana wagombea wa ubunge na udiwani, inatarajiwa kujulikana ndani ya...
Rais Samia afanya uteuzi wa viongozi 10 Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameendelea na mkakati wake wa kuimarisha utendaji serikalini baada ya kufanya uteuzi wa viongozi mbalimbali katika taasisi na mamlaka za umma.
Askofu Gwajima: Nitaendelea kubaki CCM ila sitaogopa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Askofu Josephat Gwajima amesema yeye ataendelea kuwa mwanachama wa chama hicho na wala hana mpango wa kukihama.