Nandy amwaga chozi kanisani
Dar es Salaam. Rapa William Lyimo maarufu Billnass na nyota wa muziki wa Bongofleva Faustina Mfinanga maarufu Nandy wakila kiapo wakati wakifunga ndoa.
Wawili hao wamefunga pingu za maisha leo Jumamosi Julai 16, 2022 katika kanisa la KKKT Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.