Rais Samia Suluhu Hassan anawaapisha wakuu wa mikoa wapya na makatibu tawala wa mikoa wapya.

Uapisho wa viongozi hao wapya aliowateua usiku wa kuamkia Alhamisi Julai 28, 2022 unafanyika Ikulu ya Dar es Salaam.