Mama adaiwa kuwaua wanaye wawili, mgogoro wa familia watajwa
Mary Mushi (26), mkazi wa Kijiji cha Mungushi, Hai mkoani Kilimanjaro, anadaiwa kuwaua wanawe wawili, mmoja wa miaka minne na mwingine wa miezi sita, kisha kujijeruhi, chanzo kikitajwa ni mgogoro...