MAALIM SEIF AKABIDHIWA RASMI KADI YA ACT WAZALENDO
Mwanachama mpya wa Act Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad akionyesha kadi yake aliyokabidhiwa na Kiongozi wa chama hicho, Zitto Kabwe (kushoto) alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo. Picha na Ericky Boniphace
Photo: 1/6
Kiongozi wa chama cha Act Wazalendo, Zito Kabwe akimkabidhi kadi ya uanachama aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Cuf, Maalim Seif Sharif Hamad wakati wa tukio la makabidhiano lililofanyika jijini Dar es Salaam leo. Picha na Ericky Boniphace